Friday, March 14, 2014


1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea wa ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Magulilwa kata ya Magulilwa Iringa vijijini leo, Wananchi wa Kalenga wakimuitikia Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wamesikika wakisema Godfrey Mgimwa ni Nyota ya Kalenga hivyo ni imani yao kwamba atafanya kazi vizuri endapo atashinda kiti cha ubunge katika jimbo hilo, Uchaguzi wa jimbo la Kalenga unatarajiwa kufanyika Machi 16 jumapili kuziba pengo la aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA)
2Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Magulilwa leo.3Mgombea wa ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi na kuomba kura katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Magulilwa.4Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana katikati , Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba kushoto na Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa wakiteta jambo katika mkutano huo.5Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Msanii Dokii mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa akitokea Dodoma.6Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimkumbatia mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia CCM Bw. Godfrey Mgimwa mara baada ya kuwasili katika eneo la Mkutano.8  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba na Mgombea wa ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa wakizungumza na mtoto ambaye jina lake halikufahamika mara moja wakati wa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Magulilwa katikati ni Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe.9Kutoka kulia ni Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe, Mbunge wa jimbo la Mwibara Mh. Kangi Lugora wakiwa katika mkutano huo wa kampeni.10Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akiwahutubia wananchi katika mkutano huo wa kampeni.11Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi  katika mkutano huo wa kampeni. Mkatika mkutano huo.13Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video