Monday, December 23, 2013


Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar es salaam Kaseba alishinda kwa KO ya raundi ya nne ya mpambano huo Picha nasuperdboxingcoach.blogspot.com

Kanda kabongo akimhudumia Japhert Kaseba

Bondia Omari Nampekecha ‘Peche Boy’ kushoto akipambana na hasani Kiware wakati wa mpambano huo nampekecha alishinda kwa pointi

Kaseba akiwa na familia yake pamoja na mashabiki baada ya kushinda mchezo wake


Bondia Pendo Njau kushoto akiwa na bondia Llulu Kayage wakati wa mpambano huo

mashabiki wakiangalia mpambano

Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma ‘Tata Boy’ wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa pointi.

Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma ‘Tata Boy’ wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa pointi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video