Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Asiye na Wizara Maalum Mark Mwandosya ambaye pia ni Mbunge wa Rungwe
Mashariki, Profesa Mark Mwandosya, Bungeni mjini Dodoma Novewmba 4,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Anna
Abdallah kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Longido Lekule
Laizer (kulia) na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwenye viwanja
vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Ritta
Kabati kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment