Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka udongo katika kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,
Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko
zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo.
Picha na OMR
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, akiwaongoza sehemu ya
wanafamilia kuweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wake, (Peter
Mangula), wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Shada la maua kwenye kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa
CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko
zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo.
Picha na OMR
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, akiweka udongo kwenye kaburi la
mtoto wake, Peter Mangula, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika
katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na waombolezaji wakati wa shughuli za maziko ya mtoto wa
Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula) zilizofanyika
kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Meya wa Ilala, Jerry Slaa,akiweka shada la maua.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbload Slaa, akiweka Shada la maua.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Nchemba na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakiweka mashada ya maua.
Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim,akiwaongoza mawaziri wenzake wastaafu, kuweka mashada ya maua.










0 comments:
Post a Comment