Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia
katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni (picha na Freddy
Maro)
Rais Dkt. Jakaya Kikwete ni shabiki mkubwa mno wa michezo, na kila timu ya Taifa inapofanya kazi nzuri huwa anafarajika sana


0 comments:
Post a Comment