Mchezaji
wa tum ya Mafunzo Dela akidaka mpira mbele ya walinzi wa Timu ya
Magereza katika ligi ya Netboll ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha
Jimkana Mjini Zanzibar jana.Mafunzo ilishinda 51 kwa 39.
Rais
wa Chaneta Bi. Anna Kibira akizungumza na wachezaji mara baada ya
kumaliza kwa ligi ya Muungano iliyofanyika Jimkana Mjini Zanzibar jana.
Kushoto mgeni Rarmi Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud na katikati
Rais wa Chaneza Bi. Rahma Ali Khamis.
Mkuu
wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud Mzee akimkadhi Kombe kepteni wa Timu
ya Mafunzo Elizabeth John mara baada ya kumaliza mchezo wake na
Magereza na kuchukua nafasi ya pili ya ligi ya Muungano iliyofanyika
kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana.
Mkuu
wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud Mzee akimkadhi Kombe kepteni wa Timu
ya JKT Mwanaidi Hasan. Baada ya Timu hiyo kutwaa ubingwa wa Netboll
katika ligi ya Muungano.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).



0 comments:
Post a Comment