Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasaidia
kuwatwisha ndoo ya maji wakina mama wa kijiji cha Mwigumbi wilayani
Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika
kata ya Mondo..
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsaidia kumtwisha ndoo ya maji
mkazi wa kijiji cha Mwigumbi ,wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga baada ya
kuzinduliwa kwa mradi mkubwa wa maji na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana.
Pichani
ni Tanki la Maji lenye uwezo wa kuwahudumia wakazi 4000, Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alizindua mradi huo wa maji uliopo kata ya
Mondo kijiji cha Mwigumbi wilaya ya Kishapu.
0 comments:
Post a Comment