Saturday, July 13, 2013

IMG_0018Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye  kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa  wakati alipoziandua kinu chao cha  kukoboa  kahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe  Julai 11,2013. Kushoto ni Mbunge wa ludewa, Deo Filikunjombe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0020Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawenge  wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0029Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakikagua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia kwake ni Mbunge wa ludewa Deo Filikunjombe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0055Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu  (kulia) wakitazama kahawa inayokaushwa  baadaya kukobolewa  wakati Waziri Mkuu alipozindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 213. Kushoto ni Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0094Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  walimu wa shule ya sekondari ya Chief Kidulile  wilayani Ludewa kabla ya kuweka jiwe la msingi la Jengo la maabara  akiwa katika ziara ya mkoa wa Nombe Julai 11, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0168Mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda (watatu kushoto) akislebuka pamoja na wanwake wa Ludewa katika mkutano wa hadahara uliohutubiwa na Wairi Mkuu, MizengoPinda akiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0205Wasnii ya Ludewa wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Ludewa Julai 11,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video