Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Salum Kazuga akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klabu yao yaliyofanyika mkoani humo jana picha na SUPER D |
Mchezaji wa timu ya klabu ya Texas pool ya Mkoa wa Tabora Shabani Ramadhani akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klab yao iliyofanyika mkoani hapo jana picha na SUPER D |
0 comments:
Post a Comment