WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA NA MKEWE TUNU WAMTEMBELEA BABA WA DEO FILIKUNJOMBE Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (Kulia) wakisalimiana na Frolian Filikunjombe (76), baba mzaziwa mbunge wa Luduwa, Deo Filikunjombe (kushoto) mjini Ludewa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Frolian Filikunjombe (76), baba mzazi wa mbunge wa Luduwa Deo Filikunjombe (kushoto) mjini Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wa Njombe kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Turbo Julai 12,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wa Njombe kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Turbo Julai 12,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wa Njombe kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Turbo Julai 12,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment