Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar,leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar,baada ya mazungumzo yao leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}

0 comments:
Post a Comment