Mtaalamu
wa Kilimo cha Shayiri, Joel Msechu (kulia) akitoa maelezo juu ya mbegu
za Shayiri kwa Meneja wa Kiwanda cha Kimea cha Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) Moshi, Vitus Mhusi (katikati) na Mhasibu wa Mashamba, Optaty
Minja.Wakulima wa zao hilo wana mkataba wa kuiuzia TBL, shayiri kwa
ajili ya kutengenezea bia.
Anatoly Lohay,mkulima wa Rhotia kati Karatu.
Editha Temu, Afisa Ughani kiwanda cha TBL akielezea umuhimu wa zao hilo
0 comments:
Post a Comment