

Shein,wakisalimiana na Wanancni waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa karume Pemba jana,Rais yupo kisiwani humo ajili ya
kuwafutarisha Wananchi,ikiwa ni kawaida yake kila ifikapo mwezi Mtukufu wa Ramadhan. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Shein,wakisalimiana na Wanancni waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa karume Pemba jana,Rais yupo kisiwani humo ajili ya kuwafutarisha Wananchi,ikiwa ni kawaida yake kila ifikapo mwezi Mtukufu wa Ramadhan. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Swala ya Magharibi kabla ya kufutari nao pamoja kwa futari aliyowaandalia wananchi hao jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]


Viongozi na wananchi wa na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari aliyowaandalia jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Viongozi na wananchi wa na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari aliyowaandalia jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]



0 comments:
Post a Comment