Monday, June 3, 2013

Na Baraka Mpenja kwa masaawa wa Sportsmail.com
Mshambuliaji hatari wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ujeruman, Lukas Podolski ameonekana kufurahia maisha ya jijini London katika klabu yake ya washika bunduki, Arsenal, chini ya kocha mfaransa Arsene Wenger baada ya kutumia akaunti yake ya Twita kuonesha picha zake akiwa katika dimba la Emirates.
Mjerumani huyo ameonekana kufurahia maisha The Gunner licha ya kuhusishwa na uhamisho wa kwenda nyumbani kwao katika klabu ya Borrusia Dortmund.
Podolski mwenye umri wa miaka 27, jana usiku akiwa na kikosi cha timu ya taifa, wamepigwa mabao 4-3 na watoto wa Barack Hussein Onyango Obam, timu ya taifa ya Marekani, lakini baada ya hapo alitumia muda wake mwingi kuweka picha katika akaunti yake ya Twitaa akidhihirisha kuwa ana furaha kubwa kukaa Emirates.
Happy here: Dortmund are interested in Lukas Podolski but the German appears to be content in London 
Akiwa katika Rada: Dortmund  wanammezea mate vibaya mno na kila kukicha wanaitaka saini yake, si mwingine, ni kijana wa Arsenal, Lukas Podolski ili kuziba pengo la Mario Gotze aliyetimkia kwa wekundu wa kusini mwa Ujerumani, FC Bayern Munich
Struggle: Lukas Podolski and Germany went down 4-3 to the USA on Sunday nightSi mchezo, patashika nguo kuchanika: Lukas Podolski na Ujerumani yake walitandikwa misumari 4-3 na watoto wa Obama

No hanging about: Podolski scored two goals, including one in the opening nine seconds, for Germany in a friendly against Ecuador in Florida on Wednesday
Tourist: Podolski tweeted a picture outside Capitol Hill ahead of Germany's friendly against the USA in Washington DC

Tourist: Podolski tweeted a picture at the gates of the White House with Miroslav Klose ahead of Germany's friendly against the USA in Washington DC

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video