Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Daah!
Sare tena. Lakini usiku wa kuamkia leo imekuwa tofauti kabisa. Siyo kwa
sababu England hawakuwa na bahati. Walizidiwa mchezo kwa saa moja au
zaidi, lakini wakafanikiwa kutoka sare ya mabao 2-2.
Katika
mchezo huo, mabao ya England yalifungwa na Oxlade-Chamberlain dakika ya
67 na Wayne Rooney dakika ya 79, wakati ya Brazil yalifungwa na Fred
dakika ya 57 na Paulinho dakika ya 82.
Fred wa Brazil akipachika bao

Kikosi
cha England kilikuwa: Hart, Johnson/Oxlade-Chamberlain dk61, Cahill,
Jagielka, Baines/Cole dk31 Walcott/Rodwell dk84, Jones, Carrick, Lampard
(Nahodha) Milner na Rooney.
Brazil: Julio
Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Filipe/Marcelo dk45, Luiz
Gustavo/Hernanes dk45, Paulinho/Bernard dk83, Oscar/Lucas Moura dk56,
Hulk/Fernando dk72, Fred/Leandro Damiao na Neymar.

FUNDI : Wayne Rooney akipachika bao lake kimiani kuisaidia timu yake ya taifa

Mtaalamu: Alex Oxlade-Chamberlain akipachika bao kimiani

Mtoto wa nyoka ni nyoka:
Oxlade-Chamberlain, mzee Mark (waliosimama, wapili kushoto) aliichezea
timu yake katika ushindi mzuri wa England mnamo mwaka 1984

Wamestahili heshima: wachezaji wa timu ya taifa ya England wakiwapigia makofi mashabiki wao waliofika kuwatazama

Nyota anayechipukia: Oxlade-Chamberlain akishangilia bao lake

Fred wa Brazil akipachika bao

Paulinho akiisawazishia Brazil na ubao kusomeka 2-2

KIPA MPIGANAJI: Joe Hart akiokoa hatari kutoka kwa Mbrazil Hulk

KAMA KAWAIDA: Joe Hart akiokoa hatari ya Neymar

Frank Lampard alipiga shuti ambalo liliokolewa

Duuuuh! si mchezo: Hart akiokoa hatari ya Neymar

Tipping it over: Hart tips a Fred header over the bar
0 comments:
Post a Comment