Mabao ya Shaun Maloney dakika ya 24 na
Callum McManaman dakika ya 77 yanaifanya sasa Wigan isubiri mshindi kati
ya Manchester City na Chelsea zitakazomenyana kesho, ikiwa ni miaka 35
tangu wachaguliwe kucheza Ligi.
Mashabiki wa Millwall waligombana wenyewe kwa wenyewe uwanjani leo.
Kikosi cha Millwall leo kilikuwa: Forde,
Dunne, Shittu, Beevers, Lowry, Jack Smith/Hulse dk66, Abdou/Trotter
dk72, St. Ledger, Henry, Keogh/Batt dk89 na Chris Taylor.
Wigan Athletic: Al Habsi, Beausejour/McArthur dk60, Alcaraz, Boyce, Figueroa, McManaman/Henriquez dk89, McCarthy, Scharner, Maloney, Kone na Gomez.

Shuti bao: Shaun Maloney akifunga baada ya kupokea pasi nzuri ya Arouna Kone

Shangwe: Wigan wakishangilia ushindi wao
0 comments:
Post a Comment