Nyota huyo wa Amerika Kusini, alifunga
bao hilo dakika ya 47 na sasa City itamenyana na Wigan katika fainali
mwezi ujao. Lakini mshambuliaji huyo alinusurika kutolewa nje kwa kadi
nyekundu baada ya kumchezea rafu David Luiz.
Samir Nasri alitangulia kuifungia City dakika ya 34, lakini Chelsea ikasawazisha kupitia kwa Demba Ba dakika ya 67.
Kikosi cha Manchester City
kilikuwa: Pantilimon, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy, Y Toure,
Barry, Milner, Tevez/Garcia dk71, Nasri/Lescott dk86 na Aguero.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Luiz, Bertrand, Ramires, Mikel/Torres dk65, Hazard, Mata, Oscar na Ba.

Wauaji; Nasri na Aguero wakipongezana.
0 comments:
Post a Comment