Monday, April 15, 2013


 
BOSI wa muda Chelsea, Rafa Benitez, amesema Timu yake ilistahili kupewa Penati Dakika za mwishoni jana walipofungwa Bao 2-1 na Manchester City Uwanjani Wembley kwenye Mechi ya Nusu Fainali ya FA CUP.
Kipigo hicho kimewapokonya Chelsea FA CUP ambalo wao ndio walikuwa Mabingwa watetezi.
Man City sasa wametinga Fainali na watacheza na Wigan Athletic ambao Jumamosi waliwafunga Millwall Bao 2-0 katika Nusu Fainali nyingine.

Lakini Benitez amelalamika kwa Refa Chris Foy kutotoa Penati wakati Vincent Kompany wa Man City alipoonekana waziwazi akimvuta Jezi Fernando Torres.
Benitez ametamka: “Sipendi kumyooshea kidole Mchezaji, lakini ile ilikuwa Penati na ilitakiwa  iwe Penati na Kadi Nyekundu. Ingebadilisha mchezo na inabidi Marefa wajieleze!”
Mbali ya tukio hilo la Penati tukio jingine baya ambalo halikuonwa na Refa Foy ni pale Segio Aguero wa Man City alipomrukia David Luiz kwa miguu miwili, rafu ambayo ilistahili Kadi Nyekundu moja kwa moja.
Lakini Luiz amesema hana kinyongo kwa rafu hiyo kwani kawaida Aguero si Mchezaji mchafu.
Benitez, ambae Timu yake Chelsea sasa ina nafasi moja tu iliyobaki kutwaa Kikombe Msimu huu ambayo ni kupitia EUROPA LIGI ambako wako Nusu Fainali na watacheza na Basel FC hapo Aprili 25, amesema mkazo wao sasa ni kwenye BPL, Barclays Premier League, ambako nia yao ni kumaliza kwenye

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video