Wednesday, December 26, 2012



Mabingwa wa watetezi wa kombe la Kagame,Yanga ya Dar es Salaam leo imeshindwa kuwapa zawadi ya Krismasi wapenzi na mashabiki wake baada ya kuchapwa bao 1 – 0  dhidi ya Tusker ya Kenya katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki.
Kiungo wa Yanga, Nizar Khalfan akifumua shuti katikati ya mabeki wa Tusker katika mchezo wa leo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 
Mchezo huo uliochezwa katika dimba la Taifa ulitumika pia kumtambulisha mchezaji mpya wa klabu hiyo Kabange Twite ambaye ni pacha wa Mbuyu Twite,pia kuwaaga mashabiki kabla ya kuelekea Uturuki kwa ajili ya kujifua zaidi kabla ya michuano ya kombe la Kagame na Mzunguko wa pili wa ligi kuu.
WACHEZAJI WA TUSKER

Tusker ilifunga goli hilo kwa mkwaju wa penati dakika ya 45 ambapo kipindi cha pili kocha wa Yanga Ernie Brandts  akaamua kuwaingiza Hamisi Kiiza,Nizar Khalfan,Simon Msuva na Jerryson Tegete lakini mabadiliko hayo hayakuzaa matunda.

Kwa mujibu wa Makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Clement Sanga timu ya Yanga inatakiwa kuelekea Uturuki Desemba 28 mwaka huu tayari kwa maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame na

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video