Wednesday, December 26, 2012

Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Klabu ya Azam Fc imethibitisha kupokea barua ya mwaliko kutoka chama cha soka Zanzibar ZFA kuombwa kushiriki michuano ya kombe la mapinduzi linalotaraji kuanza kushika kasi hivi karibuni.

Afisa habari wa Azam fc Jafar Idd Maganga, amesema katibu mkuu wa klabu hiyo, Idrisa Nasoro, amemwambia leo kuwa tayari barua ipo na kilichobaki ni kukaa na kujadili ombi hilo.

Idd amesema watakaa muda wowote kuotka sasa na watasema nini maamzi yao juu ya ushiriki wao.

Azam walirejea juzi nchini wakitokea kongo walikoshiriki michuano ya kombe la Hisani la shirikisho la soka nchini Kongo na kutwaa ubingwa wa kombe hilo.
 

Idd amesema ziara hiyo imewapa maandalizi mazuri ya michuano ya kimataifa  na mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video