Sunday, December 30, 2012



JKT RUVU
Wakijiandaa na duru ya lala salama ya ligi kuu Tanzania bara, maafande wa jeshi la kujenga taifa wa JKT Ruvu ya mkoani Pwani wamesajil9i wachezaji watatu kwa mujibu wa mapendekezo ya kocha mkuu wa klabu hiyo Charles Kilinda.

Afisa habari wa klbu hiyo Jamila Mutabaz amesema miongoni mwa wachezaji hao ni Zahoro Pazi kutoka Azam na wengine wawili wamewasajili wachezaji wao waliokuwa katika mafunzo ya kijeshi kama sheria yao inavyowataka.
Jamila Mutabazi
JAMILA MUTABAZI

Pia Mutabaz amesema wanaendelea na mazoezi ya kujiandaa na ngwe ya lala salama na wana imani ya kufanya vizuri mzunguko wa pili.
KIKOSI CHA JKT RUVU

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video