Wednesday, December 26, 2012

KIKOSI CHA MGAMBO JKT

Maafande wa jeshi la kujenga taifa wa mkoani Tanga, Mgambo JKT wanaendelea kunoa makali yao kujiandaa na ngwe ya lala salama ya ligi kuu Tanzania bara.

Katibu mkuu wa klabu hiyo, Antony Mgaya amesema wanatambua ugumu wa mzunguko wa pili ikizingatiwa wao ni wageni wa ligi hiyo, hivyo wamaeongeza wachezaji watatu ili kukiongezea nguvu kikosi chao.

Mgaya amesema kwa sasa mazoezi yanaendelea vizuri, wachezaji wanajituma na kuleta matumaini makubwa ya kujengeka kwa kikosi hao mzunguko wa pili.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video