Tuesday, June 5, 2018

Timu ya mpira wa miguu wanawake Mkoa wa Dar es salaam ikiongoza mashambulizi katika goli la mkoa wa Lindi katika mchezo wa kundi A ambapo Dar es salaam walifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 9-0 katika mchezo huo. 
Add caption

Timu ya Mpira wa Miguu wanawake ya mkoa wa Dar es salaam imeishushia kipogo timu ya wanawake ya mkoa wa Lindi baada ya kufanikiwa kuichapa timu hiyo kwa mabao 9-0 katika mchezo wake wa kwanza uliopigwa katika kiwanja cha magereza Butimba jijini Mwanza.

Na katika kiwanja cha shule ya sekondari Nsumba timu ya Mkoa wa Arusha iliyopo katika kundi D ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mkoa wa Rukwa, Morogoro wakikubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa timu ya Manyara.  


 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video