
Mchezo huo utaanza saa tano kamili usiku wa leo kwa saa za Afrika Mashariki.
Kwenye Mechi hii, Barca watamkosa Staa wao wa Brazil Neymar ambaye yupo Kifungoni Mechi 1 na pia Nyota wao Lionel Messi anapaswa kujichunga hii Leo kwani akilambwa Kadi ya Njano tu hatacheza Fainali.
0 comments:
Post a Comment