David Buruhan enzi za Uhai wake |
Kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Facebook, Nahodha Mkongwe wa timu ya Kagera Sugar ya Mkoani Kagera, George Kavila ameeleza kusikitishwa na kifo cha Mchezaji mwenzao, Golikipa David Buruhan na namna hali ilivyo kwenye kambi ya Klabu hiyo. (Pichani chini)
0 comments:
Post a Comment