Monday, January 30, 2017

 TIMU ya Soka ya Taifa ya Misri, 'Mafarao', wametinga Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Africa Mwaka huu, Afcon 2017 baada ya kuilaza 1-0 Morocco kwenye mechi ya Robo Fainali iliyochezwa Usiku wa Kuamkia leo Uwanja wa Port-Gentil Nchini Gabon
Bao pekee la Misri lilifungwa dakika ya 88' na Mahmoud Abdel Menaem "Kahraba"
Misri ambao ni Mabingwa mara saba wa Kombe hilo wameungana na nchi  nyingine tatu zilizofuzu hatua hiyo ambazo ni Burkina Faso, Cameroon na Ghana.
Nusu fainali itachezwa Jumatano Februari Mosi ambapo Misri watawakabili Burkina Faso mjini Libreville.
Januari pili, Cameroon wao watachuana na Ghana kama ratiba inavyoonekana hapo chini:
 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video