Monday, January 30, 2017


Dimitri Payet amesem haoni sababu ya kuizungumzia tabia aliyoionesha kwenye siku za mwisho akiwa West Ham na amekiri kujisikia faraja kurejea katika klabu yake ya zamani ya Marseille. 

Payet amewasifu mashabiki wa  West Ham kwa namna walivyomuunga mkono, huku akieleza kwamba ana kumbukumbu maalum aliyopata kwenye msimu wake wa kwanza alipojiunga na klabu hiyo.

Wagonga nyundo hao walichukizwa mno na tabia ya Payet kufuatia kugoma kuichezea timu yake akishinikiza kurudi kwao Ufaransa.
Baada ya mazungumzo ya uhamisho wake wa pauni milioni 25, jana Payet amerejea Marseille na leo ametambulishwa rasmi.
Imefika mahala West Ham imemtaka Payet kurudisha mshahara na malupulupu ambayo ni pauni laki tano alizokusanya mwezi Januari kabla ya kuondoka na wametishia kwamba wanajianda kuzuia uhamisho wake endapo nyota huyo hatarejesha fedha hizo kutokana na kugoma kuichezea klabu.
Payet signed a four-and-a-half-year deal, with the option of a further year, at Stade Velodrome
Payet alipoulizwa kama anajisikia kuzungumza tabia yake ya hivi karibuni, alisema: "Nilikuwa sijisikii vizuri tena ndani ya klabu. Sitaki kuizungumzia kwa namna yoyote ile tabia yangu, pamoja na mazungumzo yangu ya ana kwa ana na Slaven Bilic (kocha)".
'Nitalizungumzia hili, lakini sio kwasasa. Sio wakati muafaka".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video