Monday, January 30, 2017



BAADA ya mapumziko ya saa 24  siku ya jana kupisha  dakika 90 za matokeo mabaya dhdi ya Tanzania Prison jumamosi iliyopita, kikosi cha Mbeya City Fc leo kimeanza mazoezi kujindaa na mchezo  wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya JKT Ruvu  uliopangwa  kuchezwa jumamaosi ijayo kwenye uwanja wa Sokine jumamosi ijayo.
Akizungumza na mbeyacityfc.com    mapema leo kocha msaidizi wa City, Mohamed Kijuso amesema  kulikuwa na makosa mengi kwenye mchezo  uliopita jambo lililosababisha  kupoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 2-0.
 "Tumeanza mazoezi leo, tunataka  kurekebisha makosa yote yaliyoonekana kwenye mchezo uliopita, yalikuwepo na ndiyo yalisababisha tufanye vibaya,ni lazima kuyaondoa ili tuwe vizuri kabla ya mchezo wa jumamosi dhidi ya JKT Ruvu ambao ni wazi tunatakiwaa kushinda ili tuwe kwenye mazingira mazuri katika msimamo wa ligi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video