Tuesday, November 22, 2016

Familia ya Wana - Yanga tumepatwa na pigo kubwa kuondokewa na mwenzetu, mwanafamilia, ndugu yetu, mpambanaji , mwanachama wa Yanga SC Bw. Bakari Mtulia.

Marehemu alikuwa mwenyekiti wa tawi la Yanga lijulikanalo Young Facebook Fan lenye makao yake makuu Tabata - Bima. Marehemu ghafla alianza kuhisi maumivu ya tumbo akiwa anatoka kazini hapo jana kabla ya umauti kumfika.

Ndugu yetu anapumzishwa leo katika makazi yake ya milele. Taarifa zaidi za mazishi zitawajia. Ukurasa wa Naipenda YANGA unatoa pole kwa ndugu, jamaa na wana-Yanga wote kwa msiba huu.
PUMZIKA KWA AMANI MWANANCHI - BAKARI MTULIA.

Chanzo:Naipenda Yanga

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video