Wednesday, November 30, 2016

Said Hamis Ndemla na Hassan Isihaka ni moja ya wachezaji marafiki sana. Urafiki wao si tu kwasababu wamewahi kucheza timu moja ambayo ni Simba SC bali wote wawili walipandishwa kutoka Simba B kwa wakti mmoja na kuonesha viwango vilivyoridhisha mashabiki wengi.

Licha ya baadaye Isihaka kupata misukosuko mingi klabuni hapo ikiwemo kufungiwa na kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda African Lion, lakini urafiki wao bado umeendelea kudumu zaidi na zaidi.

Leo ni birithday ya Hassan Isihaka na kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ndemla ameweka picha ya pamoja akiwa na Isihaka na kuandika maneno haya:

"ndemla13Happy birthday to him mwanangu umepetiliza kam ndugu inshallah mung alete wepes ktk utafutaji wako @hanstiago88@hanstiago88 @hanstiago88 sisi ze2 duwaaa."



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video