Friday, November 18, 2016

Kocha wa Chelsea Antonio Conte ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi kwa mara ya kwanza baada ya kuiongoza Chelsea kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu England.

The Blues walishinda mechi zao zote nne za ligi mwezi October na kufunga magoli 11 huku wakiwa hawajaruhusu goli hata moja.
hazardi-tuzo
Hii ni mara ya kwanza nashinda tuzo hii,” alisema Conte. “Ni heshima kubwa na naitoa kwa wachezaji wangu na klabu kwa ujumla.”

Baada ya kuwa na msimu mbaya wa 2015/16, Eden Hazard amefanya vizuri chini ya kocha mpya na kufanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi October.

Chini ya Antonio Conte, Eden Hazard ameshafunga magoli yaliyoisaidia timu yake kupata matokeo kuliko ilivyokuwa msimu uliopita.

Inamaana kubwa sana kwangu”, alisema Hazard. “Tulicheza vizuri sana kwenye mwezi huo. Nimefunga magoli mengi huku timu ikicheza vizuri. Tumefunga magoli mengi na hatujaruhusu goli hata moja.”

“Mimi ni mchezaji bora kwa mwezi October lakini kitu muhimu ni kushinda ubingwa ligi na kufanya mambo mengi ambayo tunatakiwa kufanya.”

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video