
Uhondo wa Ligi maarufu zaidi Ulimwenguni ya English Premier League (EPL) unaanza kesho (Jumamosi).
Mechi ya mapema itaanza saa nane na nusu kwa saa za Tanzania kati ya Chelsea dhidi ya Leicester City.
Baadaye Majira ya saa 11:00 Jioni Arsenal wataikaribisha Swansea City na Manchester City wataikabili Everton.
0 comments:
Post a Comment