- Rashford amefunga magoli mengi kwenye michuano yote kwa Manchester United zaidi ya mchezaji yeyote tangu alipoacheza mchezo wake wa kwanza kabisa mwezi Februari. Amefunga mabao 10.
- Capoue amefunga magoli manne kutokana na mashuti matno yaliyolenga lango kwenye msimu huu wa Premier League.
- Goli la Zuniga ni goli la mapema kufungwa na mchezaji aliyetokea benchi tangu mara ya mwisho mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi kufanya hivyo (sekunde ya 37) dhidi ya Aston Villa mwezi Februari.
- Tangu alipocheza mchezo wake wa kwanza Agosti 2014, Daryl Janmaat amepiga pasi nyingi za magoli zaidi ya mchezaji yeyote kwenye Premier League (11).
- Manchester United wamefunga goli lao la 800 la ugenini kwenye Premier League, 96 zaidi ya timu yoyote England.
Sunday, September 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment