Mabingwa wa kandanda la Wanawake, Afrika mashariki na kati, Time ya Taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens, watatua Uwanja wa ndege wa Mwl Julius Nyerere kesho Alhamis saa saba na nusu mchana kwa ndege ya FastJet.
TFF imewaandalia chakula maalum cha mchana .
0 comments:
Post a Comment