Salum Telela akisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuicheza Ndanda ya Mtwara.
Kiungo wa zamani wa timu ya Yanga Salum Abo Telela leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu ya Ndanda ya Mtwara.
Telela ambaye aliachwa na Yanga mwezi uliopita baada ya mkataba wake kumalizika na klabu hiyo, amesajiliwa kwa ada ambayo haijawekwa wazi.
0 comments:
Post a Comment