Monday, July 4, 2016

Mshambulizi tegemeza wa Ujerumani Mario Gomez atakosa michezo yote ya Euro iliyosalia baada ya kusumbuliwa na jeraha la misuli ya paja.
Gomez aliumia kwenye mchezo wa jana dhidi ya Italy.
Taarifa ya Chama cha Soka nchini Ujerumani (DFB) inaeleza: "Uwezekano wa mshambulizi huyu kucheza si rahisi tena."
Pia kuna wasiwasi mkubwa wa kukosekana kwa viungo Sami Khedira na Bastian Schweinsteiger kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ufaransa utakapigwa Alhamisi jijini Marseille.
Khedira anasumbuliwa na majeha wakati Schweinsteiger anasumbuliwa na jeraha la goti.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video