Nyasi za uwanja wa Saint-Etienne ukiwa umesheheni mafataki yaliyorushwa na mashabiki wa Croatia wakati huo wakiongoza magoli 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Czech


Nahodha wa Croatia Darijo Srna akiwatuliza mashabiki wake

Wachezaji wa Croatia wakiwaomba mashabiki wao watulie

Wahudumu wa uwanja wakihangaika kuondoa vipande vya mafataki hayo


Mshambuliaji wa Croatia Mario Mandzukic amenusurika kupatwa na dhoruba akiwa na mwamuzi Mark Clattenburg

Mandzukic akiondolewa na Clattenburg.

0 comments:
Post a Comment