Friday, March 11, 2016

Arsene Wenger amesema kuwa kiungo wake Aaron Ramsey atacheza tena msimu huu lakini amethibitisha kwamba kiungo huyo atakosekana kwa takriban wiki nne baada ya kupata majeraha ya misuli ya paja katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Hull City ambapo Arsenal waliibuka na ushindi wa mabao 4-0.
Taarifa za awali zilieleza kuwa kiungo huyo wa kimataifa wa Wales angekaa nje kwa miezi miwili, hali ambayo ingemhatarishia utayari wake katika kushiriki michuano ya EURO 2016. 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video