Tuesday, March 15, 2016

RUMOURS: Wenger could quit Arsenal if fan unrest continues
Gazeti la Daily Mail linaripoti kuwa, kocha wa Arsenal Arsene Wenger anaweza kung'atuka klabuni hapo, ikiwa mashabiki wataendelea na msimamo wao wa kutomtaka kocha huyo, licha ya kuwa na sapoti kubwa kutoka kwa bodi ya timu.
Wenger amekuwa kwenye presha kubwa ya mashabiki, baada ya mfululizo wa matokeo mabovu hasa kutokana na vipigo kutoka kwa Swansea, Manchester United, Barcelona na Watford, huku wakionesha mabango yanayomtaka kuachia ngazi kwa mustakabali wa klabu yao.
Kwa sasa, Wenger amebakisha mwaka mmoja tu katika mkataba wake, na pengine huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho endapo mashabiki wataendeleza ghadhabu zao.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video