Sunday, March 13, 2016

Klabu KRC Genk ya nchini Ubelgiji inatarajiwa kucheza pambano kali dhidi ya Oostende Katika mchezo wa Ligi Kuu nchini humu almaarufu Kama ‘Belgium Pro League’.
Mshambuliaji wa kimataifa Kutoka Tanzania Mbwana Samatta alifanikiwa kufunga bao lake la kwanza Ulaya dhidi ya Club Brugge anatarijiwa kupata nafasi nyingine tena ya kuonyesha ubora wake dhidi ya Oostende.
Katika mechi tatu la Ligi zilizopita Kati ya timu hizi mbili, Oostende imefanikiwa kuibuka Na ushindi mara moja, huku sare zikiwa mbili.
Genk ambayo inashika nafasi ya tano ikiwa Na pointi 45 kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Ubelgiji itapambana dhidi ya Oostende inayoshika nafasi ya nne ikiwa na pointi 49 Katika dimba la Cristal Arena Saa mbili Za usiku kwenye majira ya Saa Za Afrika mashariki.
Credit:soka360

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video