Sunday, February 7, 2016

Diego Costa ameiokoa Chelsea kupokea kipigo baada ya kupiga bao la kusawazisha dhidi ya Manchester United na kuendeleza rekodi ya kocha wa muda wa Guus Hiddink ya kutofungwa mechi tisa tangu alipochukua majukumu ya kuinoa Chelsea.
United walionekana kuanza kuamini kupata ushindi kwenye mchezo huo na kusogelea nafasi juu nne za juu baada ya Jesse Lingard kupachika bao dakika ya 61 na kuanza kujenge mazingira ya kushinda mchezo wa tatu mfululizo kwenye mechi za mashindano yote.
Lakini ikiwa imesalia dakika moja kati ya sita zilizoongezwa kutokana na mchezo kusimama kwa muda kupisha matibabu ya beki wa Chelsea Kurt Zouma, Costa alimzunguka David de Gea na kufunga bao la kuisawazishia Chelsea.
Chelsea inaendelea kusalia nafasi ya 13 ikiwa nyuma kwa pointi 17 kutoka top four, lakini wakati matumaini ya Chelsea kucheza Champions League msimu ujao yakionekana kutoweka, goli la Costa lilikuwa ni mwiba kwa kocha wa Man United Louis van Gaal .

Video ya magoli ya Chelsea vs Manchester United

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video