Tuesday, December 15, 2015

Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, tayari kumeanza kuwa na tetesi za nani atakwenda wapi na timu gani inamtaka mchezaji gani katika kuangalia inaboresha kikosi chake ili kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa au nafasi nzuri kwenye misimamo ya ligi mbalimbali. Hapa nimekuwekea top 5 ya majina yanayotajwa kuwaniwa na baadhi ya vilabu wakati wa usajali wa dirisha dogo la mwezi January
s. Chelsea kupeleka offer ya kumnasa John Stones
January
Baada ya kumshuhudia John Terry akizidiwa kasi na kuteswa na kiungo mshambuliaji wa Leicester City Riyad Mahrez, Chelsea wameamua kurejea tena kwa Everton wakiwa na kitita cha pauni milio 40 kuinasa saini ya John Stones mchezaji waliyekuwa wakimuwinda kwa muda mrefu.
Stones, 21, pia amekuwa akihusishwa na Manchester United pamoja na Arsenal lakini kutokana na hali ya sasa ndani ya kikosi cha Chelsea, Mourinho atakuwa anajipanga kulipa kiasi chochote kwa ajili ya nyota huyo wa kimataifa wa England (Daily Express).
4. Manchester United kumsajili Lukaku mwezi January
January 1
Manchester United wameripotiwa kutaka kumsajili striker wa Everton Romelu Lukaku kama mshambuliaji pekee wanaemuwania katika usajili wa dirisha dogo la mwenzi January.
‘Mashetani Wekundu’ wamekuwa wakipata wakati mgumu katika kupachika mabao msimu huu na wanaamini mshambuliaji huyo ataweza kutatua tatizo la kushindwa kukwamisha mipira wavuni (Source: ItaSportPress).
3. Van Gaal kumrejesha James Wilson
January 2
Manager wa Manchester United Lois van Gaal anakusudia kumrejesha striker wake James Wilson kutoka kwenye klabu ya Brighton ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza ambapo mchezaji huyo anacheza kwa mkopo. Hatua hiyo imekuja baada ya kikosi cha Man United kushindwa kufunga magoli ikiwa na wachezaji kama Rooney ambaye pia ni majeruhi (Source: Sky Sports).
2. Monrel kujiunga na Bilbao
January 3
Inaripotiwa kocha wa Arsenal Arsene Wenger amemwambia mlinzi wa kushoto Nacho Monreal yuko huru kujiunga na timu ya Athletic Bilbao inayoshiriki ligi kuu ya nchini Hispania La Liga. Monreal, 29, amekuwa akihusishwa kurejea tena Hispania (Source: Fichajes – in Spanish).
1. Madrid wakotayari kubadilishana James kwa Hazard
January 4
Klabu ya Real Madrid ikotayari kumwachia kiungo wake mshambuliaji James Rodriguez aondoke Santiago Bernabeu lakini watakuwa tayari kufanya hivyo ikiwa Chelsea itakubali moja kwa moja kubadilishana na Eden Hazard (Source: Don Balon).

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video