Paul Nonga akipiga Selfie ndani ya Ofisi ya katibu mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha
Rasmi Yanga imekibomoa kikosi cha Mwadui FC baada ya kumnasa mshambuliaji wake, Paul Nonga.
Nonga amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, leo.
Awali Nonga alisafirishwa na Yanga kutoa Mwadui, Shinyanga kwa ajili ya kumalizia mazungumzo na mambo yamekamilika leo.
Kabla ya kujiunga na Mwadui FC, Nonga alikuwa mmoja wa washambuliaji hatari wa Mbeya City chini ya Juma Mwambusi ambaye sasa ni kocha msaidizi wa Yanga na inaelezwa ndiye aliyempendekeza.
0 comments:
Post a Comment