Thursday, December 17, 2015

Wakati huu Chelsea wakijadili hatma ya kocha wao Jose Mourinho ambaye yuko hatarini kutimuliwa Stamford Bridge, tayari orodha ya makocha wenye uwezekano wa kubeba viatu vyake imetoka kutoka kwa wadadisi wa mambo.

Inaaminika Chelsea imeliweka jina la Guus Hiddink, ambaye mwaka 2009 alihisiwa kumrithi Luiz Felipe Scolari katika kikosi cha Chelsea kuwa miongoni mwa makocha wanaoweza kuchukua kazi ya Mourinho.
Wengine ni Avram Grant, Fabio Capello na kocha wa zamani wa Liverpool, Brendan Rodgers.
Katia ya hao wewe unaona nani anafaa?

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video