Saturday, December 12, 2015

Vijana wa Jamhuri Kihwelo Julio wameonesha uzoefu wao kwenye kwamba si wa bure hiyo ni baada ya kuituliza timu ya ‘wapiga debe’ Stand United kwa bao 2-0 kwenye mchezo mwingine wa Shinyanga derby uliochezwa kwenye uwanja wa CMM Kambarage mjini Shinyanga.
Mabao ya Mwadui yamefungwa na Fabian Gwanse na Paul Nonga.
Kocha mkuu wa Mwadui, Jamhuri Kiwhelo baada ya mechi alitamba kwamba yeye ni bora kuliko kocha wa Stand United, Patrick Liewig.
"Stand wana timu nzuri, lakini leo wamekutana na muziki wa nguvu. Nimewaonesha Watanzania kwamba mimi ni kocha bora, nimemfunga Mzungu niliyekuwa naye Simba". Alisema Julio.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video