Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, Yaya Toure ameifungia Manchester City magoli mawili katika ushindi wa 3-0 waliovuna dhidi ya West Bromwich Albion katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu England iliyomalizika usiku huu.
Toure alicheka na nyavu dakika ya 9' na 24', huku bao la tatu likifungwa na Vicent KompanY dakika ya 59.
0 comments:
Post a Comment