Liverpool walichapwa 6-1 na Stoke katika mechi ya mwisho ya msimu uliopita na msimu huu 2015/2016 walipangwa kuanza ugenini dhidi ya klabu hiyo.
Jana shughuli ilikuwa pevu, iliwachukua majogoo dakika 86 kupata bao.
Philippe Coutinho ndiye aliyeibuka shujaa akipiga bonge la bao dakika hizo hizo za usiku, unajua mashabiki wa Liverpool walishangiliaje?
Nimekuwekea video....
0 comments:
Post a Comment