Mshambuliaji Kelvin Ndayisenga akishangilia baada ya kuifungia Simba goli la kwanza
Timu ya Simba SC jana ilishinda 2-0 katika mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya URA FC ya Uganda, mechi ikipigwa uwanja wa Taifa, Dar e salaam
Hapa nimekuwekea picha zikionesha matukio mbalimbali wakati mcheo huo ulivyokuwa ukiendelea.

Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza

Watoto wazuri nao walikuwepo wakishuhudia mtanange kati ya Simba na URA FC

Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili

Kikosi cha URA kilichoanza dhid ya Simba SC

Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya URA

Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari

Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa
0 comments:
Post a Comment