Wednesday, August 12, 2015

Simba imeanza mazoezi rasmi leo kujitayarisha na mchezo mwingine wa kimatifa wa kirafiki dhidi ya  klabu ya URA ya nchini Uganda utakaopigwa Jumamosi (Agosti 15 mwaka huu) uwanja wa Taifa Dar es salaam.
Mazoezi  hayo yamefanyika kwenye uwanja wa Polisi Kilwa road.
Pia wanajiwinda na msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara unaotarajia kuanza Septemba 12 mwaka huu.
Toka watwae  ubingwa wa bara msimu wa 2011/2012 chini ya kocha Milovan Circovic kutoka Serbia, Simba wanainusa harufu tu ya kombe hilo kutoka kwa mahasimu wao, Young Africans na Azam FC.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video