Wednesday, August 12, 2015

Pedro amekataa madai kwamba, ameomba kuondoka Barcelona lakini amekiri kuwa katika kipindi kigumu klabuni hapa.
Pdro (28) aliondolewa katika kikosi cha kwanza cha Barca kilichokuwa kikijiandaa kukipiga na Sevilla katika michuano ya UEFA Super Cup jana usiku huko Tbilisi, huku katibu wa benchi la ufundi wa klabu hiyo Robert Fernandez ameiambia TV3 kuwa Pedro amefanyiwa hivyo ni kwa sababu ameomba kuondoka klabuni hapo.
Licha ya kutokea benchi na kufunga goli katika ushindi wa magoli 5-4 dhidi ya  Sevilla, Pedro alionekana kukataa kujumuika na wenzake katika kusherehekea kombe lao, akiongeza uzito kwenye tetesi kuwa yuko mbioni kutimka klabuni hapo na kujiunga na Man Unted kuziba pengo lililoachwa na Angel di Maria.
"Sina furaha kabisa na yanayoendelea klabuni hapa. Robert Fernandez alisema kitu ambacho hata hakifahamu. Niliongea na nahodha, rais pamoja na kocha... yeye niliongea naye sekunde chache tu. Lakini sielewi kwa nini alisema kuwa nimeomba kuondoka klabuni kwa kutumia maneno haya, mi nadhani hafahamu namna gani mimi najisikia hapa klabuni.
"Siku zote nitabaki kuwa shabiki wa Barcelona, bila kujali nini klitatokea mwisho wa siku.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video